(+PICHA) Jinsi baadhi ya watu mashuhuri walisherehekea siku ya wapendanao

Siku ya wapendanao huwa imesubiriwa sana na wapenzi wengi, kwa ajili ya kuwanunuliwa wenzao zawadi.

Kila wapendanao huwa wansheherekea siku hii maalum kwa njia tofauti, kama vile kumpeleka mpenzi wako kusheherekea na kujivinjari, pia kuna wale huwa wanawanunulia wenzao maua.

Baadhi ya watu mashuhuri mwaka huu tarehe 14 Februari walisheherekea siku hiyo ya kipekee kwa njia tofauti hizi hapa baadhi ya picha ao wakisheherekea siku hiyo.

 

1.Dj Mo na Size 8

Msanii Size 8 alipewa 'Surprise' na mumewe siku ya Valentines,huku DJ Mo akikiri upendo wake kwa mkewe.

2.Julie Gichuru na Anthony Gichuru

Wawili hao wamekuwa kwa ndaoa kwa zaidi ya miaka 15, huku mumewe akimpeeka Julie Mombasa kusheherekea siku ya wapendanao.

3.Kabi wa Jesus na Milly waJesus

Wawili hao walitenga muda wao na kuenda usiku wa kipekee na kula ili kusheherekea upendo wao.

4. Guardian Angel na Esther Musila

Alimtakia mkewe siku ya wapendanao na maua ya kipekee.

5.Joyce Omondi na Wahiga Mwaura