- Orodha ya Watu mashuhuri wa Kenya ambao kwa sasa wanawalea vijana
- Uhusiano kati ya mzazi na mwanawe ni wa umoja na huleta pamoja uhusiano wao, hasa wakati mtoto amefikisha umri wa ujana
- KUna baadhi ya watu mashuhuri nchini ambao kwa sasa wanawalea vijana kwa njia ya kipekee
Uhusiano kati ya mzazi na mwanawe ni wa umoja na huleta pamoja uhusiano wao, hasa wakati mtoto amefikisha umri wa ujana.
KUna baadhi ya watu mashuhuri nchini ambao kwa sasa wanawalea vijana kwa njia ya kipekee.
Watoto wafikia katika ujana wao wazazi wanahitaji kuwa makini sana kwa maana wengi hupoteza mwelekeo wakati huo.
Orodha ya watu hao nikama ifuatayo;
1.Nameless na Wahu
Tomiso ni kifungua mimba msanii Nameless na Wahu ambaye, ana miaka 14 ambaye ameanza kutamba sana kwenye mitandao ya kijamii huku akiitwa kwenye mitandao ya kijamii.
2.Robert Burale
Ni muhubiri ambaye mwanawe amefikisha miaka 16, na amabaye amekuwa akimlea pekeyake.
3.Kanze Dena
Mnenaji wa ikulu Kanze Dena kifungua mimba wake amefikisha miaka 14 sasa amabye yuko katika umri wa ujana.
4.Catherine Kamau
Catherine Kamau maarufu Kate Actress ni mmoja wa watu mashuhuri ambaye amekuwa akimlea kifungua mimba wake kwa heshima kubwa.