'Asante Mungu kwa mwanzo mpya,'Soma ujumbe wake mtangazaji Massawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Soma ujumbe wake mtangazaji Massawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Massawe Japanni
Image: Instagram

Mtangazaji wa radiojambo Massawe Japanni ni miongoni mwa watangazaji bora wa lugha ya swahili.

Bali na kuwa mtangazaji ni mama wa watoto 3 wenye urembo wa kipekee na mke.

Siku hii ya leo, yaani kila tarehe 27 Julai ya mwaka mtangazaji huyo husherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kupitia kenye ukurasa wake wa instagram alimshukuru Mungu kwa yale amemtendea na kwa mwanzo mpya,

Huu hapa ujumbe wake

"Ninapokuwa nikielekea kwenye kiwango cha 4 wakati nilikuwa nikicheza densi yangu ya mwisho na miaka yangu ya 30 ... Namshukuru Mungu kwa Upendo. Ninamshukuru Mungu kwa Uzima. Namshukuru Mungu kwa Familia, Marafiki. Zaidi ya yote ... Ninamshukuru Mungu kwa mwanzo mwingi ... sura mpya ... na neema ya kujifunza kutoka kwa zamani. Asante Mungu kwa mwanzo mwingine mpya!" Aliandika Massawe.

Hizi hapa jumbe za mashabiki wakimtakia heri njema ya kuzaliwa;

evelynwanjiru_a: Happy birthday darling I celebrate you 40 still looks beautiful ❤️ @massawejapanni

kush_tracey: 😍😍gorgeousness 🔥Happy birthday beautiful ❤️

sowairina: Wueh🔥🔥🔥Happiest Birthday Beautiful

nadia_mukami: Happy Birthday ❤️❤️

jovial_ke: Happy birthday dear ❤️❤️🍻

millywajesus: Happy birthday queen

nicahthequeen: Happy birthday...you are so beautiful

owen: HAPPY BIRTHDAY 🎂🥳🎉🎈🎁🎊

valentineludiema: ❤️❤️❤️happy birthday