Umenifundisha upendo ambao sikujua hapo awali-Karen Nyamu asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe

Muhtasari
  • Karen Nyamu asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe
  • Karen aligonga vichwa vya habari baada ya kuweka wazi kwamba ana mtoto wa msanii Samidoh

Mwanasiasa Karen Nyamu, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimlimbikizia sifa mwanawe na Samidoh, huku akiadhimisha mwaka mmoja.

Karen wenye ujumbe wake aliahidi mwanawe kupigana vita vyake, huku akisema kwamba amemfundisha uoendo ambao hakujua awali.

Karen aligonga vichwa vya habari baada ya kuweka wazi kwamba ana mtoto wa msanii Samidoh.

"Mtoto wangu wewe ni baraka nzuri kwangu. Unastahili maisha bora zaidi ya kutoa. Umenifundisha upendo ambao sikujua hapo awali.

Uhusiano wetu ni mojawapo ya zawadi za thamani zaidi maishani

Dadi, unaweza kunitegemea kuwa siku zote. Nitapigana vita vyako, na ikiwa nitaacha yoyote unaweza kuwa na uhakika kwamba mama alijaribu bora zaidi

Ninatazamia nyakati nzuri mbele yetu. Nakupenda sana baby. Heri ya kuzaliwa mwana! Mwanangu," Karen Aliandika.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

jmugo.trimo: You are handsome favoured son of God🔥🔥HBD

chainiziidun: 🔥🔥🔥🔥🔥Hapa ata DNA IS ziii mwenyewe anajurikana Macho tuu 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

lilohwa: He's so cute, Happy birthday samido jnr

chloechloe_gabz: ❤️❤️Happy birthday. May all the doors of greatness remain open for you.

martha_orina: Happy birthday samido jnr🎉🎉🎉🎉