Hakuna mtoto wako atarithi akunti zako za instagram-Akothee awashauri watu mashuhuri

Muhtasari
  • Akothee awashauri watu mashuhuri waache kutafuta kiki
Esther Akoth

Akothee amejitokeza waziwazi kutoa ushauri wa busara kwa Watu Mashuhuri wa Kenya.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Akothee amewaambia watu mashuhuri kuacha kutafuta kiki, na kulenga kutengeneza utajiri.

Akothee amewaambia wazi kuwa baada ya kifo chao, hakuna mtoto wao atakayerithi kurasa zao za mitandao ya kijamii.

"Wacheni kutafuta kiki,tengeneza utajiri hakuna mtoto wako atarithi akunti zako za instagram," Aliandika Akothee.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

doryn_darlin: Umeshout sana sijui kama wameskia😍😍😍😍😍

njengapuritynjeri: If you want to talk to Dee and Willy Paul talk to them directly madamπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

chirie_loshy: Aki my Akothee, when i remember you i just get out my bed in morning, and try to make things happen 😍

makenamaureen: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ madam boss has spoken πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ”₯

trinnerdernabs_: Madam boss, kuja pande ile nyingine usaidie Diana, Willy Paul anachokoza wanawake😍

k.e.n.n.y.q: True mum πŸ”₯, na wenye hatukupata inheritance nikujituma na neema ya mwenyezi