Mrembo atangaza nia ya kuweka rekodi ya Guiness katika kushiriki ngono '200 hours'

Mrembo huyo alitoa ombi kwa wanaume wote ambao wangependa kumsaidia kwa kujiunga naye katika kufanikisha rekodi hiyo, shindano ambalo litaanza Julai 17-25.

Muhtasari

• Zara aliandika kwenye Facebook yake akitangaza kwamba atachukua changamoto hiyo kuanzia Julai 17 na kuikamilisha Julai 25, akiwa ametumikia Zaidi ya saa 200.

Mwanamke ajitokeza na kutangaza kuvunja rekodi ya Guiness kwa kushiriki ngono muda mrefu.
Mwanamke ajitokeza na kutangaza kuvunja rekodi ya Guiness kwa kushiriki ngono muda mrefu.
Image: Facebook

Mrembo mmoja kutoka nchini Cameroon amegonga vichwa vya habari katika siku za hivi karibuni kwa kudai kwamba anataka kuweka rekodi ya dunia kwenye kitabu cha Guiness kwa kushiriki ngono kwa muda mrefu Zaidi.

Kwa mujibu wa ukurasa wake wa FacebookDanny Zara ana mpango wa kushiriki tendo la ndoa kwa Zaidi ya saa 200 mfululizo bila kupumzika ili kuweka rekodi mpya ya Guiness World.

Zara aliandika kwenye Facebook yake akitangaza kwamba atachukua changamoto hiyo kuanzia Julai 17 na kuikamilisha Julai 25, akiwa ametumikia Zaidi ya saa 200.

 “Mabibi na Mabwana baada ya uthibitisho wa kutosha kutoka kwa Guiness books of record nimeamua kuvunja rekodi🤲 ya Longest Sex Hour ( Sex_Thon), tumekuwa tukifanya mipango kwa muda sasa na leo tumeamua kutuma kipeperushi rasmi, Sayari ya Kamerun ni wakati wako kwako kuunga mkono mtu wako mwenyewe ili tuweze kuleta kitabu hiki katika nchi yetu kuifanya Nigeria isituzidi😃,” aliandika kwenye Facebook.

Mrembo huyo aliwaalika wanaume wenye uwezo kujiunga naye na kumwezesha kuandikisha rekodi hiyo mpya.

“Tunachohitaji sasa ni watu ambao watajitolea wenyewe ili mradi huu utekelezwe. Msichana wenu ni Mwaminifu,” aliandika.

Mrembo huyo aliweka wazi kuhusu nia yake, ikiwa ni wiki chache tu baada ya GWR kutambua na kumtunuku mpishi wa Nigeria Hilda Baci kwa kuweka rekodi ya kupika kwa saa Zaidi zikiwa ni saa 100.

Lakini baadae baada ya kupata maombi mengi kutoka kwa mamia ya wanaume ambao walitaka kushiriki kitendo hicho na yeye, Zara alirejea mitandaoni na kusema kwamba ulikuwa ni mzaha tu, huku akisema kuwa alikuwa analenga kuwazuzua watu tu.