Simba mla watoto,'Mashabiki wasema baada ya Diamond kumkumbatia Zuchu kwa njia ya kipekee

Muhtasari
  • Msanii huyo amebarikiwa na watoto 4 ambao wanafahamika na wanamitandao kytoka kwa akina mama tofauti
ZUCHU NA DIAMOND PLATNUMZ
Image: WASAFI/INSTAGRAM

Historia na safari ya uhusiano wa kimapenzi wa staa wa bongo kutoka Tanzania Diamond Patnumz unafahamika sana tangu alipomtambulisha mpenzi wake wa kwanza mitandaoni.

Wanamitandao wengi wamempa majina tofauti kutokana na mauhusiano yake ya kimapenzi.

Msanii huyo amebarikiwa na watoto 4 ambao wanafahamika na wanamitandao kytoka kwa akina mama tofauti.

Diamond na Zuchu wamekuwa wwakitoa vibao tofauti, huku vikipendwa na mashabiki wao, hivi juzi wawili hao walitoa kibao kinachofahamika kama 'Mtasubiri'.

Katika video ya kibao hicho, wawili hao walipeana busu huku mashabiki wakitoa hisia tofauti,siku ya Jumamosi,wasanii hao waliwatumbuiza mashabiki wao kwa kibao hicho.

Cha ajabu ni jinsi Diamond alimkamata juzi wakiimba kibao hicho huku wakiacha hisia tofauti mitandaoni.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

yummylovelyy: Litawachoma sanaaa

onotashy: ❤️❤️❤️❤️ Waaaaaaw I wish my boss can kamata me like this zuchu is blessed I say😍

deejaynish_: Simba mla watoto

farouqhabesh1369: Kwa mondi kwa kweli anamkaza huyu demu🔥🔥 wa kizenji so diamond zenji mashemegi zako😂

chimmayapple: Kaah😂😂 emu Leo niulize ivi huyu zuchu si Huwa anapata tabu kweny kukaa jmn😮ana vitako km njugu mawe za iringa keeh😂😂cyo Kwa ubayaa lkn

lakshmi_thelma: Tulikua tumesahau hekaheka yao ya sijui kudate sijui ndoa na ivi wameanzaa tena😂😂😂😂😂watafika mbinguni hohehahe hawa😂😂😍😍😍