Alikuwa anataka kumuuwa kwa kumdunga na kisu ya jikoni Januari, 5, katika eneo la Kayole, Embakasi maeneo ya kaunti ya Nairobi.
Mashtaka ili ripoti kuwa polisi huyo alitoka katika uhusiano huo kwa sababu ya mshangao wa mtuhumiwa.
Siku hiyo ya tukio inasemekana kuwa Waithera alikuwa ametoka kazini na wenzake asubuhi, hakujua kuwa mtuhumiwa anamfuata nyuma na alikiwa amekasirika.
Wahome alijaribu kumshambulia Waithera kutoka nyuma akiwa anaelekea nyumbani kupumzika. Polisi walisema kuwa Wahome alikuwa amebeba kisu na kumpiga hadi kukauka, alipata majeraha hadi kuharibu mijadala kamba yake (vocal cord).
Polisi huyo alisema kuwa aling'ang'ana ili aweze kujitoa katika mikono ya mtuhumiwa huyo lakini nguvu zake ziliambulia patupu kwa maana alikuwa na nguvu nyingi.
Baada ya kung'ang'ana naye aliweza kumuacha na alama.
KATIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA..
Gavana wa Taita Taveta Granton Sambaoja amewaonya vikali maafisa visadi katika kampuni ya usambazaji maji eneo hilo la Taveto na ambao wamekuwa wakiunganisha maji mabwenyeye bila kibali.
"Pia kumetokea kesi za ulaghai na ukora wale mabwenyenye wana bomba kuu lakini mwanchi wa kawaida anaanza kuumia na umaskini wake,"Mimi nina wahakikishia kuwa hakuna mabwenyenye ambao watatoa maji katika bomba kuu,kwa maana maji haya ni ya kila mwananchi ambaye anaishi katika eneo hili," Alisema Samboja.