MACHAKOS: Gavana Mutua Alalama Kuhusu Uchunguzi Wa Ufisadi Dhidi Ya Naibu Wake Kujikokota

Alfred Mutua. | picha: the-star.co.ke

Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua amezishtumu idara za uchunguzi kwa kujikokota katika kumchukulia hatua za kisheria naibu wake Bernand Kiala kwa madai ya ufisadi.

Mutua amesema amewasilisha lalama mara nyingi wa idara hizo kumchunguza Kiala lakini hakuna hatua iliyochukuliwa hadi kufikia sasa.

Mutua alitoa malalamishi hiyo katika chapisho mbili refu katika ukurasa wa rasmi wa Facebook.

Chapisho hizo zinaweza kusomwa hapo chini.

INVESTIGATIVE BODIES SHOULD SPEED UPINVESTIGATIONS OF CORRUPTION AND ABUSE BYMACHAKOS DEPUTY GOVERNOR BERNARD KIALA ...

Posted by on 

CORRUPTION INVOLVING ABUSE OF OFFICE BY HON. BERNARD KIALA, DEPUTY GOVERNOR, MACHAKOS COUNTY LEADING TO THEFT OF...

Posted by on