KISUMU: Wamiliki wa bar wanaouzia watoto pombe watakabiliwa kisheria - aonya kamishna Maalim

1421198514483
1421198514483
Kamishna kaunti ya Kisumu Mohamed Maalim ametoa onyo wenye Bar Kisumu kwamba watapokonywa leseni zao iwapo hawazingatia sheria za kudhibiti maeneo ya kuuza pombe.
 
Maalim amesema  wamepata habari kuwa baadhi ya Bar huuza pombe kwa walio na na umri chini ya miaka 18.
Kuhusu usalama, amewahakikishia wakaazi wa kaunti ya Kisumu kuwa usalama utadumishwa na makuundi yanahangaisha wakaaz8 watakabiliwa vilivyo.
 
Amesema makundi kama vile China squad na American Marines, yatakabiliwa kisheria.
 
Kadhalika, amehoji kuwa  wezi wa ng'ombe vile vile, watakabiliwa vikali.