Hamna Kupiga Picha Wala Kuchukua Video Wakati Wa Ibada Ya Wafu Ya Balozi Bethwel Kiplagat

Ibada ya wafu wa aliyekua mwenyekiti wa tume ya TJRC balozi Bethuel Kiplagat inafanyika leo katika kanisa la St Marks mtaani Westlands kuanzia saa nne.

Hata hivyo jamii yake imetaka kuwepo kwa usiri wakati huu mgumu kwao na hivyo basi hawataki watu kupiga picha wala kuchukua video wakati wa ibada hiyo.

Hata hivyo matukio ya ibada hiyo hictoria na picha za marehemu zitasambazwa kwa vyombo vya habari baada ya kukamilika kwa ibada hiyo.

Marehemu alikua mwenyekiyi wa TJRC na aliga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.