PATANISHO: Mwanamke akikosa kumtunza mume wake atatunziwa na mwingine

Bi Faith alitumaujumbe akiomba apatanishwe na bwanake bwana Lawrence Okoth.
"Tumeishi na bwanangu Okoth kwa ndoa ya miaka mitatu na tunaishi kama ndugu wawili kwa nyumba, huniona kama mjakazi pale nyumbani. Sasa imefika na nikajua ukweli kwani kuna msichani aliniambia kuwa walipatana katika bar na akamweleza kuwa mtoto niliyekuja naye kwa ndoa ni sumbua." Alieleza Faith.

Alisema kuwa yule mwanamke ni kama alipata nambari yake wakiwa pamoja katika lodging na akamwambia kuwa nafaa kulala juu yeye anakula uchafu wa bwanangu na kuwa nitampata mchana. Isitoshe nilikuwa karibu kujitoa uhai ispokuwa ni bwanangu alikata ile kamba.

Wawili hao bado wanaishi pamoja lakini Faith anataka kujua bayana msimamo wa mumewe ili ajipange kimaisha.

Alipokataa kushika simu zetu bwana Okoth, Faith aiamua kuzungumza na mwanamke ambaye ana uhusiano na bwanake akisema kuwa mumewe amemuomba msamaha na huyo mwanamke ndiye anamtafuta.

"Try to trust your husband if that's what he told you try to do that. Mimi sijui ni mwanadada kama ndiye anafuata mwanaume ama mwanaume ndiye anafuata msichana." Aliongeza mwanamke yule huku akikanaa kuwa yeye ndiye anamfuata kwa klabu.

Mwambie Faith amwamini mume wake sina uhusiano naye, yeye ndiye hataki kuamini mume wake. Mwambia awache kunitusi juu akinitusi naweza mwambia chochote." Aliongeza.

I am not feeling what she's feeling because I don't care about her or her husband, becasue she chose not to believe her husband. Mwanamke akikosa akikosa kutunza mume wake, it doesn't have to be  necessarily me, mtu mwingine atamtunza." Alisisitiza.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be