Valentines: Joyce Kupewa mshangao na Waihiga siku ya wapendanao

Huku wananchi wakisherehekea na kuidhinisha siku ya wapendanao Februari, 14,J oyce Omondi hakuwachwa wala kusaulika katika mawazo ya mpenzi wake Waihiga Mwaura.

Ni siku ambayo wale wapendanao waliweza kuwashangaza wapenzi wao kwa maua, chokoleti na zawadi nyingi ambazo hawakuwa wanatarajia wangepewa.

Siku ya wapendanao ili weza kusherehekewa na hata na watu maarufu katika sekta mbambali na kwa njia tofauti.