Patanisho: Mke wangu hupigia customer wangu wa Uber na kubishana nao

Abel na Zippoteha walikosana juzi mwezi kama moja iliyopita baada ya mke wake kubadilika alipopata kazi

Wapendwa wawili hawa wamekaa miaka sita bila kukosana na Abel alituma SMS akiuliza apatanishwe na mke wake.

Huyu ndugu anasema mke wake alibadilika baada ya kupata kazi kule Mlolongo na alikuwa akimshugulikia pale wiki sita bila kulipwa na yeye alikuwa anafanya kazi ya Uber.

Anadai mke wake alianza kubadilika baada ya kwasababu wame ishi miaka sita hawakuwa wamewahi kosana.

Abel na Ziporrah wana watot wawili na anasema siku ya tukio kuan dada alimchungulia Facebook pale na sijui ni kama alificha simu sasa mke wake ni kama alikasirika akapigia dadake na kumweleza na dadake akapigia huyu jamaa ambaye alimweleza ni kwa nini unaficha ficha dadangu mambo hapa na pale eti huenda ikawa anamdanganya na mambo kama hayo. Kisha baadaye ndio akapanga na wakatoroka nyumbani. Abel akafuata akampelekea mtoto kwa njia alikuwa ameshawishiwa kwamba hiyo ndio njia itafanya mke wake arudi.

Lakini hadi wa leo mke wake hajarudi kwa hivyo angependa Redio Jambo imsaidie arudiane uhusiano.

Bi Zipporah hakuweza kushika simu na ikabidi wanajambo wampe mawaidha.

Je Abel anauhakika hajatongoza wanadada ambao anawabeba akiwa kazi ya Uber, ndio maana bib yake Zipporah amekasirika?

Alisema akiwa na huzuni' Wacha nikwambie Gidi Mimi ndio mwoga hata kukiendaga hivo narudi namwabia tuende kwanza tupimwe sitaki kukufa ukimwi niache mali yangu ile nimetafuta.' Sijawahi jaribu kutongoza msichana juu naogopa kukufa.Hapana mimi ni mwoga sana 

Kuna majirani walikuwa wanambia eti dereva wa taxi ni wabaya na mi namwambia hujanipata na msichana hata siku moja.

Na hii Facebook ambayo alikuwa nanamfichia ambayo ilileta vita, kwa nini alifanya hivo?

Abel alisema, 'sikumficha ni simu yangu nilimwabia wakati nilipata message ya client amepiga simu nikiwa kwa bafu amechukuwa simu ametukana client juu ilikuwa Decemba 25 niklmwambia kuna kazi wacha niende. Niliendaa 25 mpaka 26 nikarudi na Sh30,000 na namwekea kwa meza'.