Staa huyu wa kike sasa anapiga taarifa katika mtandao wa Insta kuwa atakayemuona mmoja wa wapenzi wake amjulishe na ahakikishe kuwa yupo salama.
Haya yanajiri baada ya kumkaripia msichana wake kwa kuchelewa kufika nyumbani.
Soma hadithi nyingine;
Akothee anajulikana kwa ukali wa maneno kwa wanaomkosea.
Kama ukona yeye mwambie mimi,watoto na papa Oyoo tunamsubiri...."
"If you are with him , tell him the children I and papa Oyoo are waiting on whatsApp as usual by 9.00 pm European time, we want to arrange the December holiday for the family , and he is always coming up with changes so he better be here 😍 That's 10.00 pm Kenyan time." Alichapisha Akothee.
Shabiki aliyekunwa na chapisho hilo alimjibu kuwa amtafute katika tangi.
-
Keeping up with the Kothesians"
-
"�😂😂😂😂😂
"Ak rudisheni baby daddy wa Akotheee
Wlolo peaneni baby daddy wa mwenyewe.""
-
�😂😂😂😂😂😂😅 aseol... pliiiiiiiz i beg oooh. Iroma nyar Sakwa.eiii"Haki na umewaweza baby dad wote wako kwenye group moja ya whatsap"�😂😂😂😂😂 💃💃💃💃 madam boss..you have made my evening 🔥"