Wakenya wengi wamehuzunika na kusema wazi maoni yao baada ya janga la feri kuzama bahari hindi.
Wengi walisema kuwa, wasimamizi wa feri za Kenya hawakufanya lolote ili kuokoa maisha ya mama na mtoto wake waliozama.
Vilevile, jeshi la kenya la wanabahari, ''Kenya Navy'' limewashangaza wakenya kwani mpaka wa sasa, hawajaweza kupata miili ya marehemu hawa ilhali kazi yao ni kuokoa maisha na kulinda nchi endapo adui anatoka majini.
Waliohusika kwenye mkasa huu ni mama na mtoto wake.
Mama mwenye umri wa 35, jina lake Marriam Kigenda na binti yake, Amanda Mutheu mwenye umri wa miaka 4.
Wawili hawa walizama kwenye bahari hindi baada ya gari kuteleza na kuzama kwenye maji.
Tazama orodha ya maoni ya wakenya kuhusu janga hili
@KenyanProject: I’m trying to imagine those horrifying last seconds when the victims realized that for sure this is it…No one’s coming for us… We’re sinking… And their loved ones who’ve been left watching this traumatizing video clip. I am crushed. I’m ashamed of my country.