Mommy love: Tazama picha za celebs wa humu nchini na mama zao

Sio mara nyingi utaona watu mashuhuri humu nchini wakiwa na mama zao haswa ikizingatiwa wengi hutumia mitandao yao ya kijamii kukuza na kuuza talanta zao.

Mmoja wa celebs ambao ni nadra kuona akichapisha picha za mamake mzazi ni mwanasoka Victor Wanyama, ambaye anachezea klabu ya Uingereza ya Tottenham Hotspur.

Tumekuandalia orodha na picha ya ma celebs kadha wa kadha humu nchini na mama zao.

  1. Khaligraph

2. Chipukeezy

3. Shaffie Weru

4. Willy Paul

5. Brian Chweya

6. Victor Wanyama