Mume wangu alishiriki ngono na mamangu mzazi ,mwanamke asema

Woman-crying-696x419
Woman-crying-696x419
Kizazi cha sasa hakitambui umuhimu wa ndao kama ilivyokuwa siku za akina yahe wa zama,wanaume hawatambui heshima iliokuwepo baina ya mamamkwe ama wanawake kubaini pia heshima iliokuwepo baina ya babamkwe.

Kizazi cha sasa kimepotoka kimaadili kwani mwanaume mmoja alimtoa mkew majozi baada ya kuwa alishiriki ngono na mama wa mkewe,yaani mama mkwe.

Huwa wanashiriki ngono na kila mwanamke ambaye wanaona na kisha kuwaacha wakiteseka hata hawajali kama watapata watoto au la.

Wanaume  Kenya wamo katika kipaumbele  wakisemekana kuwa si waaminifu katika mahusiano yao,

Je tamaduni za kitambo ziko waapi na kwanini zilitupiliwa mbali?

Kupitia mtandao wa kijamii mwanamke mmoja alisimulia jinsi mume wake ameenda nje ya ndoa kwa mara nyingi mpaka akashiriki ngono na mama yake mzazi.

“HI EVERYONE. HAS ANYONE EVER FOUND THEIR HUBBY IN BED WITH ANOTHER WOMAN COZ I JUS DID. FUNNILY THE WOMAN IS MY NXT DOOR NEIGHBOUR WITH THREE KIDS AND WE USED TO BE FRNDS. EVEN IF U R IMMORAL, WHY DO IT IN UR HOUSE AND MORE SO UR BED WHERE EVEN UR FOUR MONTHS OLD BABY IS SLEEPIN?I HAVE NEVA CHEATED ON THIS FOOL EVEN ONCE BT HE HAS CHEATED ON ME A MILLION TYMS EVEN WIT MY OWN MOTHER. NOW I HAVE DECIDED TO FINALLY WALK AWAY WITH MY KIDS AND I KNOW GOD IS GOIN TO WORK WONDERS FOR US. PLZ IF ANY OF U KNOWS OF A JOB VACANCY OF ANY KIND, PLZ LET ME KNOW KINDLY. THANX." Alisimulia.

Kwa kweli wanaume wengi wamegeuza familia zao kuwa Sodoma na Gomorrah.