Nalipa ukinipiga picha ,Joy Kendi asema

KENDI
KENDI

NA NICKSON TOSI

Ni vigumu kuzungumzia maswala ya ya urembo,na mitindo ya nguo nchini bila ya kumtaja mrembo na muigizaji katika maonyesho ya nguo Joy Kendi .

Kutokana na miondoko yake ya mavazi na urembo ,Joy amenaorodheshwa kama wanamitindo waliobobea nchini kutokana na umaarufu wake .

Katika mojawapo ya video zake alizotundika katika mitandao ya kijamii,Kendi alifichuwa kuwa aliwalipa paparasi shilingi kwa kumpiga tu picha kama njia ya kujivinjari maisha yake.

Katika video hiyo ya dakika 10,Kendi alitaja kuwa amewafikia wahariri wa video 4 ambao walikuwa wanamtumia jumbe katika kurasa zake za mitandao wakitaka kuhariri picha zake na kumlazimu kutumia shilingi elfu 3500 katika shughuli hiyo mzima.

Kulingana na Kendi wahariri hao 4 ambao walimpiga picha hizo,waliaiangazia kupunguza kiuno chake na kuonekana kuwa kidogo kama njia ya kumfanya aonekana kama mtu anayefanya mazoezi.

Kendi alisema hivi.

“I paid 4 stranger to photoshop my photos. Why you ask.... why not.... lol. I spent a total of 3500ksh for the photos ranging between 500ksh - 1000ksh per photo. This was all for fun, not here to make fun of anyone’s photoshop skills,” alisema Kendi

Baadhi ya jumbe walizotuma paparasi baada ya kuona picha hizo walidai kuwa Kendi anaonekana vyema katika picha za kawaida kuliko zilizofanyiwa ukarabati.

What's the obsession with the small waist???Men...WE EAT!!! Lol”

 “Joy, you’re hot without the edit. You don’t need it. I’m mad one of the editors messed with your beautiful ears. Lol. Thank God for you tubers like InformedOverload who expose some of the influencers that go overboard with the editing”

 “Been trying to master the short hair, I guess next time my barbers going shorter. It's interesting how we are obsessed with having a body that looks a stereotypical way, THANK YOU for NOT editing your body unrealistically or to fit in to these standards. Representation matters!”

Baadhi ya jumbe hizo ni kama ifwatavyo.

 “The raw were really cute, I mean you have an amazing body and photography spot on!!!💕💕💕 the edits also look good 😊”

 “Hahaha the part you start talking about your ears and arms...........the teary voice haha. You win!!! Raw pics all the way”

 “Whyyy joy? Nikiii ma!! 🙄Y u gotta show us this after our c sections seamstress marks and belly stretch marks😜😁😁”

 “I didn't like any of the editors work. I think I speak for most of us when I say this....your authenticity is what we love about your content. Don't ruin it”

_