'Sitaki kumlea mtoto asiyekuwa na baba.'Tanasha afichua vile alipigania ndoa yake.

Baada ya kuachana na Diamond, Tanasha alifichua kwamba hakutaka kamwe kumlea mtoto ambaye hana baba. Hii ni baada ya kufichua kuwa alipigania uhusiano wake na Diamond.

Kwa sasa Diamond ni baba wa watoto wanne na wanawake mbalimbali.

Wawili hao waliachana tu baada ya kutoa kibao kimoja  'Gere' kibao kilichoenea sana katika mitandao ya kijamii.

Akiwa katika mahojiano, Tanasha alifichua kwamba kumchumbia staa maarufu kama Diamond sio jambo rahisi.

"AT SOME POINT I GOT A BIT LOST BECAUSE NOW A CHILD IS INVOLVED AND NOW, I’M THINKING ABOUT MY SON, NOT JUST ME, I DON’T WANT MY SON TO GROW UP WITHOUT A FATHER. I’M REALLY TRYING TO FIGHT FOR THIS RELATIONSHIP, BUT I CAN’T BE THE ONLY ONE FIGHTING, SO I HAD TO THINK OF WHAT’S BEST FOR ME AND MY SON TOO." Tanasha Alisema.

Uhusiano wao ulianza kuwa na misukosuko miezi miwili kabla ya kujifungua.

"SOMEWHERE IN AUGUST 2019 THINGS STARTED HITTING ROCK BOTTOM. I USED TO ASK WHAT CHANGED. I THINK THE PUBLIC COULD SEE IT." Alisema.

Alidai kwamba alijaribu awezavyo kusitiri uhusiano wake na msanii Diamond lakini hakufua dafu.

"TOWARDS THE END, THINGS WERE GETTING ROCKY, FOR THE PAST 6 MONTHS BUT WE WERE STILL TRYING TO SEE HOW WE CAN MAKE IT WORK AND THEN IT GOT TO A POINT WHERE YOU SEE THE OTHER PERSON HAS JUST LOST INTEREST. AND IT’S NOT BECAUSE OF ANYTHING EMOTIONAL WOULD SAY IS NOT LIVING UP TO CERTAIN EXPECTATIONS HE HAD IN THE RELATIONSHIP AND IT IS NOBODY’S FAULT BECAUSE EVERYBODY IS WIRED THE WAY THEY ARE AND WHEN YOU DON’T LIVE UP TO THIS PERSON’S EXPECTATIONS, FOR SOME PEOPLE IT’S NOT EASY TO HANG ON WHILE FOR SOME IT’S OKAY."

Yote tisa kumi ni,

EVERYONE IS THE WAY THEY ARE AND WHEN YOU DON’T LIVE UP TO THIS PERSON’S EXPECTATIONS FOR SOME PEOPLE IT IS NOT EASY TO HANDLE WHILE FOR SOME IT’S OKAY. I WOULD SAY THAT IS WHERE THINGS STARTED GOING DOWN BECAUSE I WANTED TO BE MY OWN PERSON AS WELL AS BE IN THIS RELATIONSHIP. WHEN YOU LOVE YOURSELF, YOU’LL BE ABLE TO LOVE IN A RELATIONSHIP. TOU ILL BE ABLE TO LOVE YOUR FAMILY, YOUR CHILD SO IT’S SELF-LOVE.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO