Mimi ni yule dame wa kunyorosha chuma ya doshi,' Akothee baada ya kumsamehe baby daddy

Msanii Akothee  ameamua kumsamehe baba wa watoto wake ambaye alikuwa na madrama chungu nzima, kwa maana kuwalea watoto wao ndilo jambo la maana.

Akothee alisema kuwa atapigania maisha ya watoto wake hadi pale watafikisha umri wa kujikimu na kuwa na uwezo wa kijifanyia uamuzi katika maisha yao.

"DON’T BE COMFORTABLE ITS FOR A MOMENT, ANYTHING CAN POP UP ANYTIME 🤣🤣🤣 I HAD TO MAKE THIS RELATIONSHIP WORK FOR THE SAKE OF MY CHILDREN,🙏🏾 NONE OF MY BABY DADDIES IS MY EX

ALL OF THEM ARE PRESENT IN MY LIFE, WE FIGHT LIKE NORMAL RELATIONSHIPS, UNTIL FURTHER – 18 YEARS OF – NOTICE💪." Akothee Alisema.

Aliendelea na kusema kuwa kuwalea watoto kama wazazi hawayuko pamoja na jambo ngumu sana.

"CO-PARENTING IS ONE OF THE HARDEST THINGS EVER, 🙏🏾, ONE PERSON WILL BE GENUINE WITH THEIR OPINION, THE OTHER ONE WILL USE HIS POWERS TO CREATE PAIN TO THE OTHER ONE.

CO_PARENTING IS LIKE HAVING A FAILED PREGNANCY THAT BLEEDS ALL THE WAY 🙏🏾,.

YOU ARE CONSTANTLY BLEEDING WITH NO REMEDY TRYING TO KEEP THE RELATIONSHIP 💪, ANYONE CLAIMING TO BE MY EX AND WE NEVER HAD A CHILD, I AM SORRY .

I DON’T KNOW YOU OR THINK ABOUT YOU, STOP EMBARRASSING YOURSELF, I ONLY HAVE 3 ELEVATED PRESENT IN MY LIFE, THAT I RESPECT AND LOVE." Akothee Alisimulia.

Baada ya madrama aliopitia na baby daddy wake Akothee ana shukrani tele kwa kubarikiwa na watoto,

"#MY3BABYDADDIES, EVEN THOUGH SOME OF THEM MADE ME GO THROUGH HELL, BUT THEY GAVE ME BEAUTIFUL GIFTS THAT SHAPED MY LIFE 🙏🏾🙏🏾, A RELATIONSHIP THAT IS WORTH FIGHTING FOR.

I WILL STILL FIGHT UNTIL MY CHILDREN GROW KNOWING THEIR PARENTAL RIGHTS 💪

MIMI NI YULE DEM, AKOTHEE NYOROSHA CHUMA YA DOSHI🤝💪."