Je ni vyema kuficha watoto uliozaa nje ya ndoa? Mwanamke mmoja amesimulia jinsi marehemu mume wake alivyozaa watoto 9 na wanawake nje ya ndoa kabla hajafa.
Nilikutana naye baada ya shule ya upili na kuanza kupata watoto. Watoto wangu sasa wana umri wa kati ya miaka 16 na 19 hata hivyo hatukufunga ndoa naye akapata watoto wengine watano na wanawake tofauti
Anaongeza
Nawajua watoto wote na huwa anawatunza. Hata najua mwanamke ambaye anaishi naye na kati ya wanawake wote aliopata watoto nao. Ni mimi pekee ambaye nimempa mtoto msichana. Ndio kwa sababu hawezi kuniacha
Anaongeza
Niligundua kwamba alikuwa na mke na watoto wakati nilipopata mimba yake. Kinachoshangaza ni kwamba, alinifanya nihisi kwamba nilikuwa mwanamke pekee katika maisha yake, baadaye niligundua alikuwa na watoto wengine tisa
Nilipoitwa na kuambiwa kwamba ameaga dunia, niliamua kusalia kimya kwa sababu sikutaka drama
Kwa kutamatisha anashauri hivi
kama mwanamke, ni uamuzi wako kujua utakavyochukulia habari za kugundua kwamba mko wengi katika maisha ya mwanamme .