'Chungana na huyu kijana.' Mashabiki wamuonya Vera Sidika dhidi ya Willy Paul

Screenshot_20200512-133701_2
Screenshot_20200512-133701_2
Miezi kadhaa baada ya msanii Willy Paul kufunga ndoa sasa, ameanza tena kummezea mate mwanasosholaiti Vera Sidika. Pozze alionywa na mashabiki wa Vera awache kumtamani Vera baada ya Sidika kuwauliza mashabiki wake kama kuna kitu wangetaka kutoka dukani.

Soma pia:

Kupitia kwa mitandao ya kijamii aliandika,

"HEADING TO THE GROCERY STORE …NEED ANYTHING? 😝

🍆🍑💦."Vera Aliandika.

Willy Paul hakukimya alimjibu kuwa yeye ni baby mama wake.

Vera naye alimjibu Pozze;

 ‘BABY DADDY 😝’

Mashabiki hawakupendezwa na kitendo cha Willy Paul kummezea mate Vera Sidika ilhali ameoa.

Mashabiki walikuwa na haya ya kusema.

@willy.paul.msafi @queenveebosset leta cucumber nyonga fest plz’

@willy.paul.msafi bro iih huwezi @otilebrown alikimbia wewe nanii.

@willy.paul.msafi hahaha owadwa usimkune huyu nakuona.

@willy.paul.msafi kijana unachoma😂😂.

@queenveebosset walai mnaeza match na pozze.

@willy.paul.msafi bro iyo mali ni safi.

@queenveebosset: chungana na huyu kijana😂😂😂.

Joe Muchiri naye alijitosa katika mazungumzo hayo na kusema kuwa anamtaka Vera amtafutie mpenzi mrembo wa aina yake.

"ME NATAKA TU DAME MPOA 😅😅." Joe Aliandika.

Vera kisha alimuuliza anamtaka mpenzi wa aina gani.

"SKINNY THICK, TALL, SHORT, LIGHTSKIN DARKSKIN, WHAT’S YOUR PREFERENCE 😝???" Vera Aliuliza.

Joe alimjibu,

"@QUEENVEEBOSSET I BELIEVE IN UR TASTE 😅😅 HII CORONA INA NI MALIZA JOWA."

Je mnaamini Vera na Willy wanaweza kuwa wapenzi?

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO