Mayoo! Kiuno pekee yake kinakutoa mate

gloria-6
gloria-6
Saa chache tu baada ya mtangazaji Betty Kyallo kujiuzulu kazi yake na kusema kuwa anaenda kushughulikia maswala yake ya kibinafsi, kidosho huyo amekuwa mitandaoni haswa Youtube ambapo ameanzishi kitengo chake kipya kwa jina Betty Kyallo Lately.

Kutokana na miradi hiyo mipya kwenye mitandao ya kijamii, Betty yupo na baadhi ya watu wanaofanikisha kazi hiyo akiwemo dadake kwa jina Gloria Kyallo ambaye hajafahamika sana machoni mwa watu wengi.

Baada tu ya Betty na dadake mwingine Mercy kuamua kumwanika kighafla mitandaoni Gloria Kyallo, sasa wanaume wameanza kutokwa na ute wengi wakipayuka kupewa nambari za kichuna huyo kutokana na urembo wake.

Hizi hapa ni picha za Gloria Kyallo, tazama.

Kwa sasa Betty Kyallo anaishi na dada zake hawa kwa chumba kimoja .