Haters mtaambia nini watu! Thibitisho Diamond na Zari wanarudiana

Zari-Diamond-love-696x418
Zari-Diamond-love-696x418
Msanii Diamond Platnumz na Zari Hassan wanaweza kurudiana hivi karibuni kuliko vile tulikuwa tanadhani. Wawili hao walitengana mwaka wa 2018 huku Diamond akiwa deadbeat father kwa wanawe.

Diamond alimtumia mwanawe Tiffah zawadi na kuposti video yake akiifungua huku akimshukuru.

"THANK YOU PAPA FOR BUYING ME THE KITCHEN."

https://www.instagram.com/p/CA8av03DQQe/

Si muda mrefu Diamond alizungumza na kusema kuwa wakili wa Zari na wake wana mazungumzo jinsi wawili hao wataweza kuwalea watoto wao.

Hii ni baada ya kuacha kuwasaidia wanawe miaka miwili iliyopita.

Kulingana na nduru za habari, uhusiano wa wawili hao uko katika hali sawa na huenda wakarudiana hivi karibuni kinyume cha matarajio ya wengi.

Awali akiwa kwenye mahojiano, mama dangote alimsifu Zari huku akisema kuwa anamshukuru kwa maana ni mwanamke wa kwanza kumfanya mwanawe Diamond kuitwa baba.

"ZARI NAMHESHIMU. NI MWANAMKE AMBAYE NDIYE WA KWANZA KABISA KUMFANYA MWANAGU AITWE BABA. NITAENDELEA KUMHESHIMU NA KUMPA HESHIMA KWA KILE ANACHOSTAHILI. SIMKATAZI DIAMOND PLATNUMZ KUOA LAKINI SIO HAMISA. NATAKA MWANAMKE AMBAYE ANAJIHESHIMU, MWENYE HESHIA NA ANAYEJUA KUPIKA LAKINI SIO MOBETTO." Alisema