"Nataka kila mtu ajue kile maafisa hawa wa polisi walichukua maishani mwangu. Mwisho wa siku kila mmoja wao anaenda nyumbani na kujiunga na familia yake
Gianna hana baba sasa atakua bila kumuona, hatatembea naye kwenye harusi yake wala kuhudhuria sherehe za mahafali yake. Kama kuna shida ambayo mwanangu anapitia anataka baba yake lakini hayupo tena."Alieleza.
Alizidi na mazungumzo yake;
"Niko mahali hapa kwa ajili ya mwanangu na mume wangu George Floyd kwa maana nataka haki itendeke, nataka haki yake kutendekaNataka mume wangu apate haki kwa maana alikuwa mzuri, haijalishi kile ambacho watu wanafikiria. Alikuwa mzuri kwangu."
https://twitter.com/BBCWorld/status/1267937814546710529
Polisi huyo aliyesababisha kifo cha George alishtakiwa kwa mauaji hayo ya ni kifo ambacho kimesababisha maandano makubwa nchini Marekani.
Viongozi wa nchi mbalimbali walijiunga na maandamano hayo na kutaka haki itendeke.
Hotuba ya mkewe George iliibua hisia nyingi mitandaoni na hizi hapa hisia zao;
smoothboob Too many black children without fathers and mothers because of police brutality. The system has failed them and therefore it has failed all of us
itsashleyalicia Please lord give this beautiful mother and her beautiful baby strength to find peace and to stay strong. This is heartbreaking she should not have to be going thru this! 😔😭 this breaks my heart so much!
porsha4real My sister and I lost our father at a young age !! When they ask why this is why we fight! 💔🥺 #JusticeForGeorgeFloyd
tiffany_hbic_pollard 💔🙏🏾💔 Lord please give her and her daughter the STRENGTH 😞
torylanez This is heartbreaking
lala Heartbreaking 😢
belladreamhair This is so painful
iamtinymontana I’m hurting for her an that baby ❤️
spiceofficial Ripped to pieces 💔