Wakenya watuma jumbe za heri kwa waandishi waliofutwa kazi

83457873_1021225464962918_1965823629301321866_n
83457873_1021225464962918_1965823629301321866_n
Wakenya mitandaoni wameliwaza wanahabari 100 waliofutwa kazi kutoka kwa shirika la Media Max linalomilikiwa na familia ya Rais Uhuru Kenyatta mapema wiki hii

Mwanahabari Joab Mwaura na mkewe Nancy Onyancha ambao walikuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo walikuwa miongoni mwa wanahabari waliopigwa kalamu.

Mashabiki wao wamewatakia kila la heri na kuwatia moyo kuwa mambo makubwa yanakuja mbele yao na hawapaswi kukata tamaa.

Mmoja wa mashabiki wao alielezea jinsi alivyofutwa kazi mara kadhaa lakini anamshukuru Mungu kwa sasbabu alikuwa akimfungilia njia kila mara ya kupata kazi nyingine.

Tazama jumbe hizo.

 Everything happens for a reason.Soon God is going to promote them.When one door shuts the same God opens a bigger one.For He is a True God.

 They will get another job, nothing is permanent in this world,they don't know what tommorow holds and everything happens for a reason,it's not the end of their lives,Mimi hakuna kitu hunishtua nikijua Kuna Mungu mbinguni asikiaye maombi na anajibu no matter how long it gonna take

 Don worry guys... Juz hold hands as a couple and thank God even in the midst of wat you are going through. His promises are true! He will never leave you nor forsake you... You will soon see the reason you lost that job, God is preparing you for greater assighnments. Trust me...

 The company ought to have retained one. Double dismissal at these times is a tragedy for the young family