Pregnant! Corozan Kwamboka aonyesha ujauzito wake

corazon-1
corazon-1

Mwanasosholaiti  Corazon Kwamboka ametokeza kuwa atakuwa anajaaliwa mtoto hivi karibuni baada ya kuweka picha moja mitandaoni akiwa mjamzito.

Amesema kuwa ndoto yake ya kuwa mama hatimaye imetimia baada ya kugunduliwa kuwa na shida ya Endometriosis mwaka jana.

 “If someone told me January last year that I’d be feeling you kick deep in my belly at the sound of your father’s voice, I’d most definitely think they were deranged! Endometriosis had crippled my dreams of birthing a child. But here we are. A pleasant and welcomed surprise. I can’t wait to meet you. Hold you and teach you EVERYTHING I know,” 

Kwamboka anasema kuwa anamchumbia Franky Kiarie japo hakutokeza baba wa mtoto halisi alipokuwa anatundika picha hiyo mitandaoni.

“To the baby’s father; I couldn’t have chosen a better person to do this with. I see the good in you and how you raise your own and I know my child will be loved ETERNALLY,” Kwamboka.