Wakimani, ambaye alikuwa akiendesha gari lake ambalo lilihusika katika ajali akiwa pamoja na Emmanuel Makori aka Ayeiya ambaye aliaga dunia katika ajali hiyo ameshtakiwa na familia ya Ayeiya. Familia hiyo inataka awalipe shilingi milioni 21.
Wakimani amesema baada ya ajali hiyo alipatwa na msongo wa mawazo na kuanza kunywa pombe. Anasema wenzake katika kipindi cha Churchill show hakuelewa alikuwa akipitia nini wakati huo. Anasema hakuwa na mtu wa kumtegemea na kaanza kuwa mkali na mwenye ghasia.
‘ Nilipatwa na msongo wa mawazo, mpenzi wangu akaniacha baada ya kuwa naye kwa miaka mitano. Kuna siku nilikuwa naamka NA NAANGILIA NAONA TYRES ZA GARI KUMBE NIKO KANDO KANDO YA BARABARA NAANGALIA HIVI NAONA HII NI JAM WATU WANAENDA JOB. NAKUMBUKA NILIBLEKI THE PREVIOUS NIGHT AFTER DRINKING,’ amesema
Aliongeza
kuna siku nilikuwa naamka najipata NAPIGWA MAKOFI NA MAKARAU NA WATU WAMESIMAMA WANAANGALIA [THERE’S ONE DAY NILIAMSHWA NA MAKOFI KUANGALIA NI POLISI COZ I HAD FOUGHT PEOPLE WHERE I WAS DRINKING THE PREVIOUS NIGHT AND WAS TOLD I HAD FIVE CASES OF ASSAULT.
Amesema hakuna aliyekuwa tayari kumsaidia hata rafiki zake na wenzake hawakujitokeza kumsaidia.
Amewarai mashabiki wake kumsaidia
SPIRITUALLY MUNIOMBEE SANA. I’M STILL ON MY WAY TO RECOVERY.