Mwanamme ni nyumba:Tazama nyumba ya mwanahabari Trevor Ombija

Wanahabari wengi wa runinga ya Citizen wamekuwa wakifanya kazi wakiwa nyumbani ili kuthibiti maambukizi ya corona, Jeff Koinange, Trevor Ombija, Waihiga Mwaura ni miongoni mwa wanahabri ambao wamekuwa wakisoma habari wakiwa nyumbani.

Jumatatu Trevor alisoma habari akiwa nyumbani kwake, na kutokana na video yake anaishi maisha mema.

Mwanahabari huyo anaishi jijini, na picha za nyumba yake zimewaacha wakenya wengi wakitamani maisha hayo, hizi hapa baadhi za hisia wakenya wengi;

Njoki Munyi @TrevorOmbija huku ndio kwako? I’m now convinced I simply exist I don’t LIVE. OMERA!!!!!!!! @citizentvkenya

#mondayreport

Michael Kipkprir Huku ndo kwa Trevor #mondayreport

Herbery Wasike Home edition, that’s your house @TrevorOmbija..Wueeeeh #mondayreport

Terry R Tshiku Was wondering how come today you working from home 😄…trust you doing ok though

Hizi hapa picha za nyumba yake;