Ni Huyu? Mtazame mwanamke wa pembeni anayedaiwa kuwa na mahusiano na DJ Mo

Muhtasari
  •  Sakata hii ndio mtihani mkubwa sana kwa ndoa ya DJ Mo na Size 8
  • Msichana anayedaiwa kuwa mpenzi wa kando wa Mo ,afichua picha na mawasiliano kato yake na  DJ Mo
Maggie

 

Ndoa ya Dj Mo na Size 8 inapitia mtihani mkubwa wakati huu baada ya kuzuka madai kwamba DJ huyo alikuwa na uhusiano wan je ya ndoa .

 Katikati ya patashika hiyo na kipusa mmoja kwa jina  Maggie Wanyama   anayedaiwa kuwa mpenzi wa DJ Mo . Margaret aliamua kumtupa DJ Mo chini basi kwa kufichua jumbe za mawasiliano kati yao  alipozibwaga kwa mwanablogi Edgar Obare ambaye hakuchlea kuziweka wazi .

 Alitoa ufichuzi wote wa kutetemesha ndoa yoyote zikiwemo picha za Mo akiwa Uchi  alivyozaliwa na hilo huenda kweli lilikuwa kama  kumdunga mwimba mke wa DJ Mo  Size 8 .

 Kulingana naye  alikuwa amewasiliana na Dj huyo hadi muda mfupi tu kabla hajaibuka kusema yote . Kipusa huyo ana mtoto wa kiume wa umri wa miaka sita  na hizi hapa picha zake