Tundu Lisu alikuwa anavutia umati mkubwa,'Wakenya wamshambulia Ruto baada ya haya

Muhtasari
  • Rundu Lisu alishindwa licha ya yake kuwavutia umati mibwa wakenya wamwambia Ruto
  • Ruto alifanya ziara yake katika eneo la mlima kenya huku wakenya wakijitokeza kwa wingi

Mnamo Jumamosi,31,2020 naibu rais William Ruto alifanya ziara yake katika maeneo ya mlima kenya ambapo wananchi wa maeneo hayo walijitokeza kwa wingi.

KUpitia kwenye ukurasa wake Ruto aliposti picha za wananchi wakimkaribisha na hata kuhudhuria mkutano wake kwa wingi.

Baada ya kuposti picha hizo naibu aliandika ujumbe mfupi unasoma,

 

"Presided over the launch of an economic empowerment programme that will benefit thousands of women, youth and persons living with disabilities, at St. Paul's Kutus Primary School, Kirinyaga County." Aliandika Ruto.

Baada ya wakeya wengi kuoan ujumbe na posti yake naibu walimkosoa huku wengi wakimlinganiasha na aliyekuwa mgombea urais Tanzania aliyeshindwa na John Magufuli.

Hizi hapa baadhi za hisia zao;

Prof. JOEL OKELLO: This was Tundu Lisus crowd and he got less than 2 million votes he's was confused by tho that the cowed was the actual counted votes

Joe Musoga: is the only Kenyan enjoining him self imagine being elected in a powerful office in Kenya you campaigns 24 hours with a salary of 3.5m a month

Collins ShemFlag of Kenya: Hii mkutano ynyu c maachane nayo...kagwee ywatusomea kama watoto!! And u our leaders ndo mnakusanya wanaichi pamoja in the name of politics c mtuambie kama hzii figuers zinakua cooked!!! Bt i belive one day someone will be acvountable

David kasiro: Even Tundu Lissu used to attract a bigger crowd than that but sahii ako wapi