Rais Uhuru Kenyatta amuomboleza gavana Nyagarama huku viongozi wakituma risala za rambirambi

Muhtasari
  • Viongozi wamuomboleza Nyagarama huku wakiongozwa na rais Uhuru Kenyatta
  • Nyagarama aliaga siku ya Ijumaa baada ya kupatikana na virusi vya corona wiki chache zilizopita

 Baada ya gavana wa Kaunti ya Nyamira John Nyangarama kuaaga dunia akiwa na umri wa miaka 74 viongozi wa humu nchini huku wakongozwa na rais Uhuru Kenyatta walitumba risala za rambi rambi zao wakimuomboleza mwendazake.

Gavana huyo alifariki siku ya Ijumaa mwendo wa saa kumi asubuhi baada ya wiki kadhaa akiwa hospitalini.

Nyagarama alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Nairobi Hospital kutokana na athari za Covid-19.

Kupitia kwenye ujumbe wake rais alikuwa na haya ya kusema;

"Mchango wake katika ugatuzi wa sekta ya majani chai na utendakazi kwa watu wa kaunti ya Nyamira utapezwa sana

Kama taifa kifo kimenyakua kiongozi ambaye alikuwa tayari kubadilisha maisha ya wakazi wa kaunti ya Nyamira kupitia katika michakato ta kaunti yake." Rais Alisema.

Rai spia alisema ni kwa ajili ya utendakazi wake na uaminifu wake ndio maana wakazi wa Nyamira walimchagua kwa mara ya pili kuwa gavana wao.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za rambirambi kutoka kwa viongozi wa humu nchini;

Mike mbuvi sonko: Heri huyu amepumzika ndio asisumbuliwe akili venye mlinifanya Jana. Go in peace bro NyangaramaLoudly crying face

Kalonzo Musyoka: My condolences go to the family of Governor John Obiero Nyagarama and the people of Nyamira County that he served to empower.He was truly a dedicated leader and a pillar in the opportunity of devolution.May God Rest his Soul in Eternal Peace.

Governor Hassan Joho: It is a sad morning for the country as we mourn the tragic loss of the Governor of Nyamira County, H.E. John Nyagarama. My sincere condolences and deepest sympathies to his family and the people of Nyamira County. May the Almighty assuage your grief. #RipNyagarama

William Samoei Ruto: We are saddened by the loss of Nyamira Governor John Nyagarama, a selfless and formidable champion for devolution who was genuinely dedicated to public service.

Progressive, steadfast and responsive, Governor Nyagarama was industrious, focussed and firm.