Panda shuka za mapenzi ya Harmonize na Kajala

Kajala alithibitisha kutengana kwake na Harmonize wiki jana.

Muhtasari

•Muigizaji Fridah Kajala Masanja alithibitisha kutengana na bosi wa Konde Music Worwide, Harmonize wiki jana.

•Wawili hao walikuwa kwenye mahusiano kwa takriban miezi saba baada ya kurudiana mapema mwaka huu.

Panda shuka za mapenzi ya Harmonize na Kajala
Image: HILLARY BETT