Mabadiliko ya hivi punde katika mtandao wa mawasiliano wa WhatsApp

Mtandao wa Whatsapp wafanya mabaliko kathaa katika juhudi za kuiboresha.

Muhtasari

• WhatsApp jumanne kuweka kipengele cha kuhariri ujumbe, chini ya dakika 15.

• Pia WhatsApp sasa inawakubali watumiaji kuweka sauti kwenye Whatsapp.

Baadhi ya mabadiliko ya hivi majuzi katika mtandao wa mawasiliano wa Whatsapp.
Baadhi ya mabadiliko ya hivi majuzi katika mtandao wa mawasiliano wa Whatsapp.
Image: Rosa Mumanyi