Wanasoka tajika waliohamia ligi ya Major League Soccer, USA

Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi amekuwa wa hivi punde kujiunga na ligi hiyo.

Muhtasari

• Wachezaji wengi kutoka ligi za bara Uropa wamehamia katika ligi ya MLS ili kumalizia kucheza soka Marekani.

• Jumatano, Lionel Messi alitangaza kuwa atajiunga na klabu ya Inter miami.

Baadhi ya wanasoka tajika waliohamia ligi ya Major League,USA.
Baadhi ya wanasoka tajika waliohamia ligi ya Major League,USA.
Image: HILLARY BETT