Wachezaji wa soka Ulaya ambao wamefunga harusi na wapenzi wao Kati ya Mei na Julai

Tangu Mei, walinda lango 4 akiwemo Arrizabalaga wa Chelsea, Courtois wa Real Madrid, Ramsdale wa Arsenal na de Gea wa Man U wamefunga harusi.