INFO:Wanamichezo wa kiume walioondolewa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia

Ryan Giggs, mkongwe wa Manchester United alipoteza kazi yake kama kocha wa Wales baada ya kutuhumiwa kumdhulumu kingono mwanamke mmoja lakini juzi ameondolewa mashataka hayo.

Muhtasari

• Kinda Mason Greenwood aliondolewa mashtaka mwezi Februari na wikendi jana alitanagza kupata mtoto na mrembo wake aliyemshtaki.

Wanamichezo walioondolewa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.
UNYANYASAJI Wanamichezo walioondolewa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia.
Image: ROSA MUMANYI