Mataifa yaliyojitolea kutuma misaada mbalimbali kwa wahanga wa zilizala Morocco

Takriban watu 2,122 wameuawa na 2,421 wamejeruhiwa, angalau 1,400 vibaya, katika tetemeko la ardhi la Richter 6.8 usiku wa Ijumaa huko Morocco.

Muhtasari

• Awali tuliripoti pia kwamba mchezaji Ronaldo ametoa msaada wa kuwahifadhi wahanga katika hoteli yake ya kifahari nchini humo.

Mataifa yaliyoahidi msaada Morocco.
Mataifa yaliyoahidi msaada Morocco.
Mataifa yaliyoahidi msaada Morocco.
Mataifa yaliyoahidi msaada Morocco.