Nyakati ambazo bara la Afrika lilitupwa kwenye majonzi kufuatia vifo vya wasanii 2023

Nchini Afrika Kusini wasanii AKA na Costa Titch walifariki kwa njia tatanishi huku Kenya wasanii Kunguru na mwinjilisti Ilagosa Wa Ilagosa akifariki kifo cha ghafla.

Muhtasari

• Mwezi Septemba pia haujawa mzuri kwa tasnia ya muziki kwani tayari Afrika imepoteza wasanii wawili.

• Kutoka Tanzania mrembo Haitham Kim alifariki mwezi ukianza na msanii wa Nigeria MohBad akifariki usiku wa Septemba 12.

Wasanii waliofariki 2023.
Wasanii waliofariki 2023.