Mastaa wa kike waliotangaza kuachana na wapenzi wao mwaka 2023

mapema mwezi huu mjasiriamali Esther Akoth Kokeyo maarufu Akothee alitangaza kutengaza na mpenzi mzungu miezi 5 tu baada ya kufunga harusi iliyosimamisha jiji mwezi Aprili