Mipango ya Rais Ruto iliyotiwa breki na mahakama

Mwezi Julai mahakama ilimkosoa rais Ruto ilipoharamisha uteuzi wa makatibu wandamizi (CAS) 50.

Muhtasari

• Baadhi ya mipango iliyositishwa na korti ni pamoja na ushuru wa nyumba za bei nafuu,  ukataji miti katika misitu ya kitaifa na hazina ya bima ya afya ya jamii (SHIF) .

Image: HILLARY BETT