Maeneo yanayotarajiwa kupokea mvua kubwa wiki hii

Utabiri ulionyesha kuwa mvua hizo zitaambatana na upepo wa kasi unaozidi mita 10 kwa sekunde.

Muhtasari

• Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetoa tahadhari kwa wakaazi wanaoishi kwenye maeneo hatari kuondoka.

Image: ROSA MOMANYI