Migomo ya vyama vya wafanyikazi wa umma iliyochukua muda mrefu zaidi nchini Kenya

Mgomo wa chama cha wauguzi KNUN mnamo 2017 bado ndio unashikilia rekodi kuwa mgomo uliodumu kwa muda mrefu zaidi tangu mwaka 2010, mgomo huo ukichukua siku 150.