Fahamu makocha wanaopigiwa upatu kuiongoza Chelsea baada ya kuondoka kwa Pochettino

Chelsea walitangaza Mei 21 kwamba walifikia uamuzi wa pande zote mbili kusitisha mkataba wa Muargentina huyo baada ya kumaliza msimu wakiwa namba 6 kutoka namba 12 msimu uliopita.