Timu za Ulaya zilizoshiriki msururu wa mechi nyingi bila kushindwa katika msimu wa soka

Ubikira wa Bayer Leverkusen ulivunjwa usiku wa Mei 22 na Atalanta katika fainali ya Europa League na mchezaji wa Nigeria Ademola Lookman ambaye aliwafunga hattrick.