Timu ambazo zimeshinda ligi ya mabigwa Ulaya mara nyingi zaidi

Juni 1, Real Madrid walitwaa ubigwa huo kwa mara 15 kwa kuishinda Borrusia Dortmund.

Muhtasari

•Miamba ya Uhispania Real Madrid, ndio wameshinda Ligi ya Mabingwa kwa mara nyingi zaidi.

Timu ambazo zimeshinda ligi ya mabingwa ulaya mara nyingi Zaidi
Image: Image: Hillary Bett