Mabadiliko ya rais Ruto katika idara ya polisi baada ya IG Koome kujiuzulu

Baada ya Koome kujiuzulu Ijumaa iliyopita, rais Ruto alimteua Douglas Kanja kushikilia nafasi ya Inspekta Jenerali wa polisi kikaimu.

Muhtasari

• Mabadiliko haya yalijiri saa chache baada ya IG Koome kusalimisha barua ya kujiuzulu kwa rais Ruto.

• Koome alijiuzulu kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi ya watu ambao walimtaka kuachia ngaiz wakimtuhumu kwa machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano.

MABADILIKO KATIKA IDARA YA POLISI
MABADILIKO KATIKA IDARA YA POLISI
Image: HILLARY BETT