Kesi ya mali ya DP Rigathi Gachagua imeahirishwa

Naibu rais anapigania mali iliyo karibu na uwanja wa ndege wa JKIA.

Muhtasari

•Gachagua anatarajiwa kulipa ada ya shilingi elfu tano.

Mahakama yakubali ombi la kutupiliwa mbali kesi ya ufisadi dhidi ya DP Gachagua.
Mahakama yakubali ombi la kutupiliwa mbali kesi ya ufisadi dhidi ya DP Gachagua.
Image: Facebook//RigathiGachagua

Mahakama ya juu imepeana mwelekeo wa kusikizwa kwa kesi ya naibu rais Rigathi Gachagua tarehe 16 machi mwaka huu.Naibu rais anapigania kurejesha mali yenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 iliyoko karibu na uwanja wa ndege wa JKIA.

Kesi hiyo ilikuwa isikilizwe tarehe 9 Machi lakini mahakama iliarifiwa kuwa wakili wake Gachagua alikuwa  anajihisi vibaya kiasi.Kutokana na hili hakimu Justice Ogutu Mboya alimpa Gachagua faini ya shilingi elfu tano.

 

"