Mama Sarah Obama aaga dunia

Muhtasari

• Mama Sarah alifariki mapema siku ya Jumatatu akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Jaramogi mjini Kisumu.

Mama Sarah Obama
Mama Sarah Obama
Image: HISANI

Mama Sarah Oboma nyanyake rais Mustaafu wa Makerani Barack Obama ameaga dunia.

Mama Sarah alifariki mapema siku ya Jumatatu akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Jaramogi mjini Kisumu.

Sarah Onyango Obama alizaliwa mwaka 1921 na alikuwa mke wa tatu wa babu yake aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama, Hussein Onyango Obama.

Tutakupasha zaidi kuhudu kifo chake.